Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
waswali ya kijinga ndio haya sasaHabari za mda huu wakuu
Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
Mbona unaandika kama ulilazimishwaHabari za mda huu wakuu
Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.Habari za mda huu wakuu
Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
Bangi mbaya SanaHabari za mda huu wakuu
Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
nani kakwambia kuwa ati career ya diamond iko mwishoni we ni mganga wake?Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.
Pale WCB msanii ni Diamond tu aliye jitengenezea jina yeye kama yeye wengne wote ni marobot yaliyo tengenezwa kupitia nguvu aliyonayo Diamond,Msimtie kichwa Harmonize atapotea ndani ya mwez mmoja tu.
Tanzania siyo kama nchi zingne msanii ajitoe lebo flan na aka endelea kushine.
Sawa haiko mwisho.nani kakwambia kuwa ati career ya diamond iko mwishoni we ni mganga wake?
Diamond career yake iko mwishoni........Haya maneno kuna waganga wenzio waliyasema miaka 8 iliyopita wewe unakuja kuongea leo........Tulishawaambia mkitaka Diamond career ifike mwisho mtafuteni Diamond mwingine aje achukue nafasi yake,vinginevyo endeleeni kupiga ramli tu.Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.
Pale WCB msanii ni Diamond tu aliye jitengenezea jina yeye kama yeye wengne wote ni marobot yaliyo tengenezwa kupitia nguvu aliyonayo Diamond,Msimtie kichwa Harmonize atapotea ndani ya mwez mmoja tu.
Tanzania siyo kama nchi zingne msanii ajitoe lebo flan na aka endelea kushine.
sawa Sandra.Diamond career yake iko mwishoni........Haya maneno kuna waganga wenzio waliyasema miaka 8 iliyopita wewe unakuja kuongea leo........Tulishawaambia mkitaka Diamond career ifike mwisho mtafuteni Diamond mwingine aje achukue nafasi yake,vinginevyo endeleeni kupiga ramli tu.
Umeandika vizuri ila ulichokosea ni kusema diamond anaelekea mwisho wa career.Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.
Pale WCB msanii ni Diamond tu aliye jitengenezea jina yeye kama yeye wengne wote ni marobot yaliyo tengenezwa kupitia nguvu aliyonayo Diamond,Msimtie kichwa Harmonize atapotea ndani ya mwez mmoja tu.
Tanzania siyo kama nchi zingne msanii ajitoe lebo flan na aka endelea kushine.
Huyo dogo stakufa kisanaa km asipojitambua wasanii wote wa wcb wanasapotiwa cos wapo chini ya diamond tofauti na hapo hakuna msanii wowote anayeweza kusurvive nje ya wcb umeona mfano richmavoko kila mtu anajua kinachomtokea na kingine diamond anawasaidia kuwabrand vizuri.mtoa mada atamponza harmo,harmo ana Safari ndefu Sana ya kimuziki yakufika hata robo ya level ya diamond.mmakonde now anakimbizaa
asije kuvimba bichwa tu akatukana wakunga na uzazi ungalipo
swali utakaa kwa baba milele?Huyo dogo stakufa kisanaa km asipojitambua wasanii wote wa wcb wanasapotiwa cos wapo chini ya diamond tofauti na hapo hakuna msanii wowote anayeweza kusurvive nje ya wcb umeona mfano richmavoko kila mtu anajua kinachomtokea na kingine diamond anawasaidia kuwabrand vizuri.mtoa mada atamponza harmo,harmo ana Safari ndefu Sana ya kimuziki yakufika hata robo ya level ya diamond.
Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.