Pale WCB hakuna msanii mwenye nguvu zaid ya Diamond, ila sema huu ni muda wa Harmonize kufanya vizuri kwa kuwa Diamond career yake iko mwishon,Ukiona Harmonize anafanya vizuri ujue yule ni Diamond Part 2,Wasanii wote pale ukimwondoa Diamond hakuna anaye weza kusimama peke yake endapo akijitoa,Ndani ya mwez mmoja tutamsahau na kuanza kusikia flan saiv anakula unga kwa stress.
Pale WCB msanii ni Diamond tu aliye jitengenezea jina yeye kama yeye wengne wote ni marobot yaliyo tengenezwa kupitia nguvu aliyonayo Diamond,Msimtie kichwa Harmonize atapotea ndani ya mwez mmoja tu.
Tanzania siyo kama nchi zingne msanii ajitoe lebo flan na aka endelea kushine.