Harmonize it’s either uwe MSAFI au MCHAFU

Harmonize it’s either uwe MSAFI au MCHAFU

Mashabiki wapo hata wa wasafi.. kwani umeona kila shabiki wa wao wanawashadadia wote?
Nchi ina wananchi wengi ni mtu na juhudi zake kujiongeza kwa njia zinazofanyika ktk kazi yake..
Mm ninawapenda WCB ila siwapendi MBOSSO, LAVALAVA NA RAYVANY.
 
Mkuu uyu jamaa alikua anawatukana block ya wachafu kuliko wakubwa zake
Akasema wao ni maji usipoyaoga utayanywa
Mitusi mingi aliitoa kuliko maboss zake
Unadhani itakua rahis kupewa nafas kubwa block wachafu.
Jibu ni kwamba sio rahis
Kwanza kipaji ni kidogo sana
Pili fans wengi atawaacha wasafi
Tatu pale mawingu wanapenda ukubwa na dogo hana heshima kila mtu anadoubt heshima yake na watu wakarib au maboss zake.
Only option atulize kichwa kama anabanwa aombe mkataba mpya utakaompa nafasi kubwa
Kama wanavofanya kina kanye west drake na ilivokua kwa lilwyne
Awe na lebel chin ya wcb itakayosimamia kazi zake na kutoa mzik wake
Kuliko kujitoa mazima
 
Kitu ambacho Nafikiri ni kwamba Harmonize amekuaa kimuziki na kimapato lkn WCB wamegoma ku update Mkataba wake ndomana anaona kama anafanya kazi kubwa halafu matokeo madogo... (Nafikiri hivyo)
Kama hili ndo tatizo busara ingefanyika kurekebisha hili, I mean pengine mwanzo kwavile alikuwa underground anataka kutoka alilazimika kusign mkataba unao mbana (eg. Alikuwa anapata 20%), kwasasa kwavile amekuwa mkubwa na anaingizia lebo pesa nyingi ni lazima ataona anafanya kazi kubwa ila anaingiza kiduchu, so busara ifanyike wote wapate bila kumuumiza mwingine, kama alikuwa anapewa asilimia 20-40, may be warekebishe iwe 50-60%
 
Back
Top Bottom