Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kwani huyo mavoko amekufa baada ya kumaliza mkataba na WCB??Nakumbuka ulikuwa kinara wa kumpamba moto Rich Mavoko leo umeamia kwa Hamo.
sasa mbona mnatetemeka masaburi mkisikia mtu mkataba wake na WCB unaisha??Kuna mtu alisema mavoko atakufa ?
Mm ninawapenda WCB ila siwapendi MBOSSO, LAVALAVA NA RAYVANY.Mashabiki wapo hata wa wasafi.. kwani umeona kila shabiki wa wao wanawashadadia wote?
Nchi ina wananchi wengi ni mtu na juhudi zake kujiongeza kwa njia zinazofanyika ktk kazi yake..
acheni uoga wa kike.Kwahyo kama tunaona hali ya hatari mbele tusiseme
Kama hili ndo tatizo busara ingefanyika kurekebisha hili, I mean pengine mwanzo kwavile alikuwa underground anataka kutoka alilazimika kusign mkataba unao mbana (eg. Alikuwa anapata 20%), kwasasa kwavile amekuwa mkubwa na anaingizia lebo pesa nyingi ni lazima ataona anafanya kazi kubwa ila anaingiza kiduchu, so busara ifanyike wote wapate bila kumuumiza mwingine, kama alikuwa anapewa asilimia 20-40, may be warekebishe iwe 50-60%Kitu ambacho Nafikiri ni kwamba Harmonize amekuaa kimuziki na kimapato lkn WCB wamegoma ku update Mkataba wake ndomana anaona kama anafanya kazi kubwa halafu matokeo madogo... (Nafikiri hivyo)
Kwanini asiweze?Hivi nyie kwa akili zenu mnaamini kabisa harmonize anaweza kuondoka WCB?!??