Harmonize kabadili dini kisa Kajala

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Tumezoea mwanamke ndio huamua kubadili dini ili amfuate mwanaume. Lakini leo Harmonize amebadili dini na kumfata Kajala katika Ukristo.

Harmonize jina lake halisi la NIDA ni Rajab ila kwasasa anaitwa Robert. Kesho akibwagwa tena atarudi kwenye uislamu wake au atabaki hukohuko? Dunia haijawahi kuishiwa na vituko.

Ama kweli dunia simama nishuke...

 
Inasikitisha sana harmonize Namba C anajibebisha na kubembeleza mapenzi kwa Namba A. Wakati Kajala Namba A ndio angejibebisha kwa Harmonize maana soko lake lishaanza kufika saa 10 Jioni.

Harmonize hana akili, Anacho bembelea instakiwa yeye ndio abembelezewe. Nadhani hajui nafasi yake kama mwanaume πŸ˜…
 
Hata kama akibadili hawezi funga ndoa na mwanamke aliyekuwa kwenye ndoa yake teyari haipo kwenye ukristu unless her previous husband die. Atafumhishwa ndoa na mchungaji feki labda who knows.
 
Mwacheni Robie jamaniπŸ˜„πŸ˜ hata ampuzike alivyomliliaga K hadi dunia ikajuaπŸ˜†
 
Tuache kuzungumza ya watu, tufanye yetu
 
Tufanye hamo ni namba D kabisa kajala ni wale walikuwa TZA3428πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…