Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana.
Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga.
Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize.
Hongera sana Harmonize. U have the good PR team.
..amejitolea tu.Utakuwa umetumwa na Simba.
Huyu Harmonize hafai kbs , ndo alivyofanya..?Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana.
Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga.
Mitandao ya Kijamii Tz, Kenya, Uganda na Nigeria imetawaliwa na habari ya tukio la Harmonize.
Hongera sana Harmonize. U have the good PR team.
Swali gumu ila kwa Kajala ataliona jepesi.Kwa kweli ametumia nguvu kubwa kuanzia kumfukuzia upya kajala. Tatizo lake ni nyota tu ndio hana. Angebarikiwa nyota angekuwa mbali sana coz anajua kufosi king.
Kwa hiyo wataenda kuishi nyumba moja na Paula?
Kwa kweli maisha ya wasanii wanayaweza wenyeweSwali gumu ila kwa Kajala ataliona jepesi.
Alipiga wote atapiga tena[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli ametumia nguvu kubwa kuanzia kumfukuzia upya kajala. Tatizo lake ni nyota tu ndio hana. Angebarikiwa nyota angekuwa mbali sana coz anajua kufosi king.
Kwa hiyo wataenda kuishi nyumba moja na Paula?
Picha pls[emoji120]
Harnonise hajatumia nguvu kubwa kama unavyodhani,mwenzio anajua anachofanya,alikuwa anatafuta kuzungumziwa na kafanikiwa...kapata umaarufu na kajala kampata. Kwa kusoma comment yako napata hisia kama vile unamchukia mmakonde.Kwa kweli ametumia nguvu kubwa kuanzia kumfukuzia upya kajala. Tatizo lake ni nyota tu ndio hana. Angebarikiwa nyota angekuwa mbali sana coz anajua kufosi king.
Kwa hiyo wataenda kuishi nyumba moja na Paula?