Harmonize kama anayoongea Mwijaku ni uongo nenda mahamani! Ukikaa kimya utakuwa mjinga

Harmonize kama anayoongea Mwijaku ni uongo nenda mahamani! Ukikaa kimya utakuwa mjinga

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Mwijaku amevuka mipaka ya umbea, na amefikia Mahali pabaya kiasi Cha kujaribu kuidhalilisha familia ya Harmonize na Kajala.

Mwijaku anadai Hamo analala na Kajala pamoja na Pau Kwa wakati mmoja ni udhalilishaji mbaya mno kuwahi kutokea!

Maswali ya kujiuliza ni je Mwijaku Huwa anaingia chumbani Kwa Harmo na kushuhudia akiwa anawazagamua mtu na mamaake?

Ni matusi makubwa Kwa Harmo na Kajala, nitashangaa ikiwa Harmo na Kajala watakaa kimya.

Hiyo itamaanisha ni kweli kashfa kubwa kama hii huwezi kuikalia kimya ni ngumu kama jambo husika ni la uongo na kama mropokaji Hana ushahidi mpelekeni mahakami liwe fundisho.

E_z1NGVVIAwKqw0.jpg
 
Back
Top Bottom