Harmonize kamrudisha Rich Mavoko kwenye game upya

Hakika Harmonize anapoteza muda na pesa zake! Mavoko si msanii kwa sasa hana kipya cha ku offer kwa jamii!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hakika Harmonize anapoteza muda na pesa zake! Mavoko si msanii kwa sasa hana kipya cha ku offer kwa jamii!


Sent from my iPhone using Tapatalk
Sema harmo anapenda Kiki Sana Mara mgahawa wa bure Mara ibrah Mara qchilla Mara kumsaini hamis wa bss leo Tena kaja na story ya rich mavoko hana focus ya Jambo karukia Jambo lingine ndo maana zote hizo project zimefeli.
 
Sema harmo anapenda Kiki Sana Mara mgahawa wa bure Mara ibrah Mara qchilla Mara kumsaini hamis wa bss leo Tena kaja na story ya rich mavoko hana focus ya Jambo karukia Jambo lingine ndo maana zote hizo project zimefeli.
Harmonize ameshaona anguko lake lipo karibuni ndio mana anatapata kutafuta public sympath!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe harmonize hajafika popote muziki wake ume sturk sasa hivi tangu atoke WCB.anajitahidi ku push makolabo na wasanii wa kubwa lakini wapi.muziki unahitaji uwe umekamilika kila kitu kuanzia promotions.management.
Mimi naona kweli anatafuta kiki tupitia mavoko.aendelee kuongelewa kwenye social media
 
Angetoa collabo nae kwanza aone kama uwezo bado upo,kum sign mtu juu juu hivi..ni risky, isije ikawa kama q-chief
 
Mikataba ndio tatizo
 
Hivi ni kwanini kila Harmonize akiandika anapenda kuonyesha kulalamika ndani ya maandishi yake? Kwanini anajionyesha kama mtu wa malalamiko sana?
dogo ana kaunafiki kingi sana yote hii ni kutaka kuonekana yeye ni mwema sana
 
Ukishafika peak basi kamwe huwez tena kuivuka ile level

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuvuka level ukiwa na kipaji na management iliyo invest kwenye kuendeleza kazi yako. Mfano mavoko hana kolabo yoyote ya maana na msanii wa nje ya nchi na hajajaribu kufanya vionjo vipya kama kina vannyboy. Mavoko na hawa kina Baraka hawajafika peak.
 
Harmonize shida yake anataka aonekane mtu mwema machoni pa watu,sio vibaya kumsaidia mtu ila misaada inaenda kwa kujipanga,iko wapi konde mgahawa?,iko wapi tandahimba fm?,q chilla,hamis wa bss,tena anakuja kwa movoco?,akomae kwanza ajenge fanbase yake hata kumsaini msanii kwake ilikuwa muda bado,nadhani ukubwa aliokua nao WCB alihisi ataondoka nao ila alisahau kuwa asilimia kubwa ya mashabiki wake walikuwa wa diamond,hawa alionao sasahivi wengi ni haters wa diamond ambao mwanzoni walikuwa wakimponda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…