Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,670
- Thread starter
- #21
Ila Neyo alipotea kama akina R Kelly
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Tanzania ni dunia nzima.
Msanii akivuma kwa aina flani ya muziki na baadae huo mziki ubadilike au upitwe na wakati, msanii kama hana uwezo wa kubadilika na kuendana na soko sio rahisi kurudi
Mfano Neyo alisumbua kiuandishi na hitz kutokana na Rnb iliyokuwa ikivuma sana time yake. Game lilipobadilika akashindwa kubadilika hadi leo anastruggle tu
Bongo tabu ile ile japo siku hizi tumezidi maana siku hizi diversity hakuna.usipoimba katika flow flani, kwa maneno flani. Sahau kuhusu kurudi on top na Asipopatikana Game changer mwingine kama Diamond. Sio rahisi hii issue kuisha
Sent using Jamii Forums mobile app