Harmonize kamrudisha Rich Mavoko kwenye game upya

Ila Neyo alipotea kama akina R Kelly
Sio Tanzania ni dunia nzima.
Msanii akivuma kwa aina flani ya muziki na baadae huo mziki ubadilike au upitwe na wakati, msanii kama hana uwezo wa kubadilika na kuendana na soko sio rahisi kurudi

Mfano Neyo alisumbua kiuandishi na hitz kutokana na Rnb iliyokuwa ikivuma sana time yake. Game lilipobadilika akashindwa kubadilika hadi leo anastruggle tu

Bongo tabu ile ile japo siku hizi tumezidi maana siku hizi diversity hakuna.usipoimba katika flow flani, kwa maneno flani. Sahau kuhusu kurudi on top na Asipopatikana Game changer mwingine kama Diamond. Sio rahisi hii issue kuisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi huwa kinasababisha wasanii wa nyumbani wakianguka na wasiinuke tena? Tungo zao ni zilezile hawawezi kubadilisha ladha ya muziki wao au.

Ferouz alijaribu kuinuka akabaki chini pale. Q Chilla hadi leo yupo chini licha ya uwezo mkubwa wa kuimba alionao. TID naye hivyohivyo japo ukubwa wa J Nature umemsaidia hata akipata collabo anafanya kitu chenye kuonekana.

Tatizo ni nini kwa wasanii wetu ni kwamba hawana namna ya kurudi wakishuka kimuziki au mashabiki huwachoka mapema na kuwashusha wao wenyewe? Sioni Rich Mavoko akitafuna mfupa uliowashinda wengi.
Wanashindwa kubadilika na kufuata kizazi cha sasa kinataka nini. Na wengi hawabadiliki sababu ya kiburi cha kuamini wao hawawezi kuwafata watoto wadogo namna wanavyoimba kwa sasa wakati wao ndio wameuweka mziki Wa bongo flavor kwenye ramani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipi huwa kinasababisha wasanii wa nyumbani wakianguka na wasiinuke tena? Tungo zao ni zilezile hawawezi kubadilisha ladha ya muziki wao au.

Ferouz alijaribu kuinuka akabaki chini pale. Q Chilla hadi leo yupo chini licha ya uwezo mkubwa wa kuimba alionao. TID naye hivyohivyo japo ukubwa wa J Nature umemsaidia hata akipata collabo anafanya kitu chenye kuonekana.

Tatizo ni nini kwa wasanii wetu ni kwamba hawana namna ya kurudi wakishuka kimuziki au mashabiki huwachoka mapema na kuwashusha wao wenyewe? Sioni Rich Mavoko akitafuna mfupa uliowashinda wengi.

Ndio maana wanaita music industry. Kama una kipaji cha kuimba, peke yako huwezi kufanya kile kinachotegemewa na wengi, lazima ukubali kugawana mkate na wengine kwenye ufanisi. Kwani hata hao wenye majina makubwa kwenye tasnia hii wana team wanayofanyakazi pamoja.
Wakubali kuandikiwa nyimbo, kuwe na vocal coaches wa kuwasaidia, wakubali kukosolewa, wawe wavumilivu. Kwenye uvumilivu naongea kuhusu patience. Wasikimbilie kurekodi baada ya wiki moja ngoma iko youtube, inabidi wahakikishe ubora kwanza kabla ya kutoa muziki. Kuna mambo mengi. Ushirikiano kwenye kazi yoyote ni muhimu, waache chuki binafsi kati yao, hii haisaidii. Kuna vitu vingi vinawarudisha nyuma lakini hawajui.
 
Hakuna msanii bongo aliyewahi kupotea na akarudi kwenye game.. labda mavoco ndio awe wa kwanza...
Ukipotea inabidi ufanye ustaalabu mwingine utoke kivingine kama ni bussiness n.k.

Sasa hivi kwenye game kuna damu changa. Sasa kutushawishi tuendelee kukusikiliza ni kazi sana..
Walijaribu wakina Abby skills , Q chief , GK ,beka , hussein machozi n.k lakini game bado halieleweki..

Labda yeye ataweza.
 
Sio Tanzania ni dunia nzima.
Msanii akivuma kwa aina flani ya muziki na baadae huo mziki ubadilike au upitwe na wakati, msanii kama hana uwezo wa kubadilika na kuendana na soko sio rahisi kurudi

Mfano Neyo alisumbua kiuandishi na hitz kutokana na Rnb iliyokuwa ikivuma sana time yake. Game lilipobadilika akashindwa kubadilika hadi leo anastruggle tu

Bongo tabu ile ile japo siku hizi tumezidi maana siku hizi diversity hakuna.usipoimba katika flow flani, kwa maneno flani. Sahau kuhusu kurudi on top na Asipopatikana Game changer mwingine kama Diamond. Sio rahisi hii issue kuisha
Fact
 
Q chiller na Feruzi ni madawa ndio hayajawarudisha ... Q chiller mwaka 2017 alirudishwa mwenye game vizuri na videos kadhaa zikafanyiwa south na manager " Fundi Masaiti" alimpa nyuma aishi Mbezi beach ila bangi zake na madawa yakamfanya kukorofishana na manager wake ... Ingia YouTube channel ya EATV utafute hiyo interview akiwa na manager wake wakikorofishana + Mambo ambayo manager wake alikuwa amemfanyia ... Hizo Bahati haziji Mara 2 tena...

Furuzi ni madawa ....

Mbona J- Moe alirudi kwa Kasi , Mbona Ali kiba alikaa zaidi ya miaka mitano na akarudi na mpaka kuchukua tuzo za kimataifa ??? ....

Issue ni wasanii wa zamani ujuaji mwingi + madawa ... Ila naamini Rich mavoko atarudi this soon alikosa management ya kupush kazi zake vizuri. Kuna projects kadhaa alifanya hapo karibuni zilikuwa nzuri sema management ya kupush muziki wake alikuwa Hana .

Sent using Jamii Forums mobile app
ko keshapata management ya kupush kazi zake..?
 
Hakuna msanii bongo aliyewahi kupotea na akarudi kwenye game.. labda mavoco ndio awe wa kwanza...
Ukipotea inabidi ufanye ustaalabu mwingine utoke kivingine kama ni bussiness n.k.

Sasa hivi kwenye game kuna damu changa. Sasa kutushawishi tuendelee kukusikiliza ni kazi sana..
Walijaribu wakina Abby skills , Q chief , GK ,beka , hussein machozi n.k lakini game bado halieleweki..

Labda yeye ataweza.
Ali Kiba aliwahi kupotea kisha akarudi kwa kasi na kisha kaishia kuimba ujinga ujinga tu sahzi!

Mmakonde kufata upepo.kabla ya kumaliza ichi ana kimbilie ichi.mwisho wa siku mambo yake yana kua haya eleweki
 
Hivi Wasanii ambao walikuwa wanategemea muziki tu,ambao hawana biashara nje ya muziki kipindi hiki wanaishije? Au Caller Tunes,Youtube Views etc?
 
Hakuna msanii bongo aliyewahi kupotea na akarudi kwenye game.. labda mavoco ndio awe wa kwanza...
Ukipotea inabidi ufanye ustaalabu mwingine utoke kivingine kama ni bussiness n.k.

Sasa hivi kwenye game kuna damu changa. Sasa kutushawishi tuendelee kukusikiliza ni kazi sana..
Walijaribu wakina Abby skills , Q chief , GK ,beka , hussein machozi n.k lakini game bado halieleweki..

Labda yeye ataweza.

Ukisema hakuna Dully Sykes unamuweka wapi mkuu au FA Pia !!!....
Kuna watu wapo flexible na hawachuji..

Kwanza damu changa za maana zinahesabika, wengi wanaimba kwa kucopy kiasi ukiweka playlist unaweza usitofautishe sauti, melodies na mashairi yao.
Hapa ndo WCB wanaendelea kuwin na kutawala music industry zaidi maana kila mtu anacheza tune yao
 
FA ,Dully,Blue hawajawahi kupotea kwenye game..
 
Kila nikisikia kokoro,Namvulia kofia Richadi.
Kipaji halisi!
Hivi harmonize kweli yuko humble kama anavyojionesha au ni public sympathy anatafuta.
 
Back
Top Bottom