Harmonize kapotea kwenye game sasa hivi

Harmonize kapotea kwenye game sasa hivi

Kufanya kazi ya mziki ni mziki, alianza kuyumba long time akashindwa kuwahold wale vijana alikuwa anawasimamia.

Mambo ni fire 🔥 mzee wangu.
Mziki hmetajirisha wengi na umewafuta kwenye game.
Kina jumanne iddi, best Nasso, Mr Nice, Bushoke, na wengine wengi walikuwa on fire now wamezimika huu mziki si kuimba tu una mambo mengi.
 
pale si alikuwa ana

aminisha uma kuwa anaweza bila mondi ndio kilicho muua
 
Napenda kumchukulia harmonize kama content creator kuliko mwanamuziki.

Jamaa anaachia nyimbo nyingi mno hata ukienda kumcheki sasa hivi utakuta ana nyimbo mbili tatu huu mwezi peke yake.

Anaegemea zaidi kwenye quantity na sio quality, hitsong atazileta lakini ni baada ya kutoa flops kibao.
 
Back
Top Bottom