Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
sqsa sindo kufilisika uko unatumia pesa nyingi af faida ndoga yaani anajitafuta akijipata pesa zinaishia kwa wanawake
iNapenda kumchukulia harmonize kama content creator kuliko mwanamuziki.
Jamaa anaachia nyimbo nyingi mno hata ukienda kumcheki sasa hivi utakuta ana nyimbo mbili tatu huu mwezi peke yake.
Anaegemea zaidi kwenye quantity na sio quality, hitsong atazileta lakini ni baada ya kutoa flops kibao.