Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
-
- #21
iNapenda kumchukulia harmonize kama content creator kuliko mwanamuziki.
Jamaa anaachia nyimbo nyingi mno hata ukienda kumcheki sasa hivi utakuta ana nyimbo mbili tatu huu mwezi peke yake.
Anaegemea zaidi kwenye quantity na sio quality, hitsong atazileta lakini ni baada ya kutoa flops kibao.
ngoja wampulele mama ake karudi chitohori ukoHuwezi jua mkuu, anazo ndio maana wanamlia.
Kivip? Mbona yuko busy sana na mambo menginehivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee sio kama Zaman au jamaa.ndio kafirisika
Una maanisha kwa msaada wa P.Didy?Wakiambiwa diamond ni kichwa wanaleta uzwazwa sasa ona wenzao kina mboso wanatoa hitsongs daily na hawapoi
Kichwa cha P Did au kipiWakiambiwa diamond ni kichwa wanaleta uzwazwa sasa ona wenzao kina mboso wanatoa hitsongs daily na hawapoi
mkoa vinakuwaje?aina ya vikao vya wanaume wa Dar
Kivip? Mbona yuko busy sana na mambo mengine
haaz mzushia kijana wawatuKichwa cha P Did au kipi
Wengine tulienda kujifunza kuwaridhisha watu kama wewe mpaka ulilie= kafilisika.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Umeishiwa.Wengine tulienda kujifunza kuwaridhisha watu kama wewe mpaka ulilie
Umewahi kuulilia?Umeishiwa.
Kisaikojia tukiona mwanamme anaandika jama wewe, tunajuwa hamna kitu hapo.Umewahi kuulilia?
Kabanwa kwenye Kona na msambwanda wa Poshhivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee sio kama Zaman au jamaa.ndio kafirisika
Kisaikojia ndio kitu gani?Kisaikojia tukiona mwanamme anaandika jama wewe, tunajuwa hamna kitu hapo.
Yuko kwenye hirbernation period. Anakula demu wake kwa raha zake, kwa mahaba hayo unafikiri itapatikana akili .Ngoja hela ikiisha, demu akapotea na kuchukuliwa na wengine, nafikiri akili itarudihivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee sio kama Zaman au jamaa.ndio kafirisika
posh yupo kuvuna tu pesa wanawake wanafilisiKabanwa kwenye Kona na msambwanda wa Posh
ahahah 😂Yuko kwenye hirbernation period. Anakula demu wake kwa raha zake, kwa mahaba hayo unafikiri itapatikana akili .Ngoja hela ikiisha, demu akapotea na kuchukuliwa na wengine, nafikiri akili itarudi
kama ... Huko shule mlienda....Kisaikojia tukiona mwanamme anaandika jama wewe, tunajuwa hamna kitu hapo.