Nyoka mwenye makengeza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 870
- 776
mil 300 hujengi choo masaki, ni feza ndogo sana. Ni kubwa kama unawaza magari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwacheni wampambe, mda ni mwamuzMuda ni mwalimu sisi tupo tutaona mengi hakuna mtu anazuiliwa kutoka ila je ataweza kusimama pekee ukiangalia 90% ya mashabiki wa harmo ni wa wcb akiondoka wcb hii asilimia ya mashabiki anapoteza wcb ndio walikuwa wanampa connection na wakubwa je Leo je atakuwa na ushawishi ule ule Bila kuwa wcb? ukiangalia wcb wametengeneza mashabiki wao ndani na nje ya nchi je anaweza kupambana na fitna za mziki? Kumbuka pia harmo aliwatukana clouds media wakati akifanya show ile iliyofanyika taifa je unawezaje kupona katika mziki ukiwaumeariibu kwa wakubwa wawili wa mziki yaani wcb na clouds media kwa pamoja?
Hizi comment tutaziona za maana baada ya miez michache....wacha zipewe nguvu na mdaHuyu mtoa mada sizani hata mziki anafuatilia mziki wa Tanzania umejaa fitna nyingi ndo maana wanaofanya vizuri ni wachache japo wenye vipaji ni wengi ukiitoa wcb anaefanya vizuri Sana ni nandi na nyuma ya nandi Kuna clouds media uwezi ukasurvive Kama hauna backup yenye nguvu nyuma yako la sivyo utakuwa Kama aslay, richmavoko,Ruby,belle9,bestnaso,darassa n.k.Umeona Sasa hiv aslay analalamika mziki kuwa mgumu sijui anachukiwa pia anafanyia fitna.Huyo mmakonde ajiandae kwenda mtwara kulima asipokuwa makini.
ukichunguza nyimbo zao toka mwaka jana hadi leo,utagundua harmonise anaandika vizuri kuliko domo na lavalava..domo anaungaunga tu manenoharmonise bila domo ni mmakode wa chitoholi ambaye hata kuimba nyimbo ya malaika hawezi
hao wanaweza wakawa nazo sababu kazi yao kubwa ni ngada wakijificha kwenye kichaka cha muzikiUnazijua milioni 300 zilivyo?
domo alikua anaimba zamaniukichunguza nyimbo zao toka mwaka jana hadi leo,utagundua harmonise anaandika vizuri kuliko domo na lavalava..domo anaungaunga tu maneno
tangu ntampata wapi kama yule hana wimbo unaozidi level zile..kafika mwisho kama ambavyo barcelona ilifika mwisho miaka mitatu iliyopita lakini watu hawakutambuadomo alikua anaimba zamani
sasa hivi anatafuta hela
Mzee baba davido anaimbaga Nini? Mwisho wa siku ngoma Zina hit utoaji wa ngoma unakuwa wa mikakati si kila ngoma uwe umeandika Sana ili upendwe bali beat na Melody ndio zinazofanya wimbo uwe mzuritangu ntampata wapi kama yule hana wimbo unaozidi level zile..kafika mwisho kama ambavyo barcelona ilifika mwisho miaka mitatu iliyopita lakini watu hawakutambua
[emoji23][emoji23][emoji23]harmonise bila domo ni mmakode wa chitoholi ambaye hata kuimba nyimbo ya malaika hawezi
yeah,ndo maisha kwenye shelf yanakua mafupi...mpitie michael jackson uone kwa nini kadumu toka hajavunja ungo hadi kufika miaka 50Mzee baba davido anaimbaga Nini? Mwisho wa siku ngoma Zina hit utoaji wa ngoma unakuwa wa mikakati si kila ngoma uwe umeandika Sana ili upendwe bali beat na Melody ndio zinazofanya wimbo uwe mzuri
Binafsi nampongeza kijana wangu wa mtwara konde boy kwa mafanikio aliyoyapata kupitia wcb kama kaamua kujitegemea ni jambo jema ni vema wamruhusu tu dogo akatafute sio kesi kama mkataba wake umeisha ukizingatia ni msanii aliyekuwa anaingiza mapato kuliko wasanii wote walisainiwa wcb naamini kampuni imeshanufaika vya kutosha kupitia harmo
Huwezi kumfananisha harmo na rich mavoko walivyotoka kwenye label ikumbuke rich mavko alitoka kabla mkataba haujaisha bado alikuwa hajajijenga kimaisha mpaka sasa kuna uwezekano rich mavoko ata pesa vya kulipia video anakosa alitoka ili kuanza na yeye kusimamia wasanii akajikuta anashindw kujisimamia yeye
Kwa upande wa harmo ukiangalia tayari kajijenga kimuziki na kimaisha sasa kama mtu una mili300 ndani kuna haja gani tena kuendalea kusimamiwa na kutumikishwa tumwache dogo afanye kazi zake kwa uhuru utoaji wa nyimbo wcb utagundua ni kama kutumikishwa inalazimika mara kwa mara msani awepo studio na kwenye show tofauti nawasanii wakubwa marekani ambao wapo chini ya label mwaka mzima msanii unaweza usimsikie
Diamond saiv anafanya mziki ambao akienda kupiga show lazima aimbe na mashabiki line by line Na amsha amsha liwepoukichunguza nyimbo zao toka mwaka jana hadi leo,utagundua harmonise anaandika vizuri kuliko domo na lavalava..domo anaungaunga tu maneno
happy birthday tamu kuliko kamwambie,atarudi na ukimuona zote mulemuleDiamond saiv anafanya mziki ambao akienda kupiga show lazima aimbe na mashabiki line by line Na amsha amsha liwepo
Nyimbo unazotaka wewe Diamond alisha ziimba kitambo sana,
Kamwambie
Ukimwona
Mbagala
Utanipenda
Moyo wangu
Chanda chema
Nitarejea
I miss you
Binadamu
Upofu
Ntakukumbuka
Nalia na Mengi
Kizaizai
Mapenzi basi
Mawazo
Nataka kulewa
Ntampata wapi
Eneka n.k
Embu taja wimbo mmoja wa harmonize unaoweza pambanisha na hii (UKIMUONA au KAMWAMBIE)
Ayseee apo nime orodhesha thelusi tu!
Harmonize hafikii hata robo ya Mr. Nice wa wakati ule. Kipesa na kiumaarufu.Binafsi nampongeza kijana wangu wa mtwara konde boy kwa mafanikio aliyoyapata kupitia wcb kama kaamua kujitegemea ni jambo jema ni vema wamruhusu tu dogo akatafute sio kesi kama mkataba wake umeisha ukizingatia ni msanii aliyekuwa anaingiza mapato kuliko wasanii wote walisainiwa wcb naamini kampuni imeshanufaika vya kutosha kupitia harmo
Huwezi kumfananisha harmo na rich mavoko walivyotoka kwenye label ikumbuke rich mavko alitoka kabla mkataba haujaisha bado alikuwa hajajijenga kimaisha mpaka sasa kuna uwezekano rich mavoko ata pesa vya kulipia video anakosa alitoka ili kuanza na yeye kusimamia wasanii akajikuta anashindw kujisimamia yeye
Kwa upande wa harmo ukiangalia tayari kajijenga kimuziki na kimaisha sasa kama mtu una mili300 ndani kuna haja gani tena kuendalea kusimamiwa na kutumikishwa tumwache dogo afanye kazi zake kwa uhuru utoaji wa nyimbo wcb utagundua ni kama kutumikishwa inalazimika mara kwa mara msani awepo studio na kwenye show tofauti nawasanii wakubwa marekani ambao wapo chini ya label mwaka mzima msanii unaweza usimsikie