Harmonize kashatoka kimaisha hawezi kurudi nyuma

Mill 300 unadhani ni pesa ya maana kwa mtaji wa mtu kama KONDE kujitegemea?
Kumbuka kuna Gharama nyingi kujiandaa katika uzalishaji, masoko nk
Ni lazima afanye kazi nzuri zaidi ili watu wampokee na atunze nafasi yake.
Kwa mill 300 ataenda kutawaliwa tena
 
Mwacheni wampambe, mda ni mwamuz
 
Hizi comment tutaziona za maana baada ya miez michache....wacha zipewe nguvu na mda
 
Harmonize hawezi kusurvive kwenye game la mziki akiwa solo.... Hakuna kitu kigumu kutoka kama bongo kama kwenye industry ya musiki, amulize Ay mzee wa komesho......
 
tangu ntampata wapi kama yule hana wimbo unaozidi level zile..kafika mwisho kama ambavyo barcelona ilifika mwisho miaka mitatu iliyopita lakini watu hawakutambua
Mzee baba davido anaimbaga Nini? Mwisho wa siku ngoma Zina hit utoaji wa ngoma unakuwa wa mikakati si kila ngoma uwe umeandika Sana ili upendwe bali beat na Melody ndio zinazofanya wimbo uwe mzuri
 
Mzee baba davido anaimbaga Nini? Mwisho wa siku ngoma Zina hit utoaji wa ngoma unakuwa wa mikakati si kila ngoma uwe umeandika Sana ili upendwe bali beat na Melody ndio zinazofanya wimbo uwe mzuri
yeah,ndo maisha kwenye shelf yanakua mafupi...mpitie michael jackson uone kwa nini kadumu toka hajavunja ungo hadi kufika miaka 50
 
Mafekeche ya Visa tu yamemshinda mpaka jana kakosa show kwa Trump.
 
ukichunguza nyimbo zao toka mwaka jana hadi leo,utagundua harmonise anaandika vizuri kuliko domo na lavalava..domo anaungaunga tu maneno
Diamond saiv anafanya mziki ambao akienda kupiga show lazima aimbe na mashabiki line by line Na amsha amsha liwepo

Nyimbo unazotaka wewe Diamond alisha ziimba kitambo sana,

Kamwambie
Ukimwona
Mbagala
Utanipenda
Moyo wangu
Chanda chema
Nitarejea
I miss you
Binadamu
Upofu
Ntakukumbuka
Nalia na Mengi
Kizaizai
Mapenzi basi
Mawazo
Nataka kulewa
Ntampata wapi
Eneka n.k

Embu taja wimbo mmoja wa harmonize unaoweza pambanisha na hii (UKIMUONA au KAMWAMBIE)

Ayseee apo nime orodhesha thelusi tu!
 
happy birthday tamu kuliko kamwambie,atarudi na ukimuona zote mulemule
 
Harmonize hafikii hata robo ya Mr. Nice wa wakati ule. Kipesa na kiumaarufu.

Hizo milioni 300 ni hela ndogo sana kwa mtu mwenye lifestyle yake.

Wasanii wakubwa kama kina 50 Cent, Jay Z, Eminem walikuwa chini ya lebo na ukubwa wao wa wakati huo hadi wakaenda kuanzisha lebo zao. Huyo Harmo ana nini?

Wizkid, Davido ni wakubwa mara 100 ya Harmo, wapo chini ya lebo.

Milioni 300 kitu gani bhana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…