Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Sasa unaitwa laki si pesa unazani utakuwa na akili kweli Toa upumbavu hapa tutakutoa jamii forum ebooohBMWX6 gari ya kawaida haina bei mbaya hata milion 30 unapata, anayo na prado ya kizamani, mwana bongo fleva mwenye gar ya maana ni lady jadee anayo VOGUE SPORT, hata kipanya hamer yake ya bei mbaya, diamond show off tu hana kitu
Basi kakaBMWX6 gari ya kawaida haina bei mbaya hata milion 30 unapata, anayo na prado ya kizamani, mwana bongo fleva mwenye gar ya maana ni lady jadee anayo VOGUE SPORT, hata kipanya hamer yake ya bei mbaya, diamond show off tu hana kitu
We jamaa una tatizo la ubongo Sasa wewe diamond unaweza kumfanisha na Nani kipesa na wasanii wako wa bongo?una onekana una chuki binafsi huna lolote mwenzako ana kupa facts wewe unaropoka hiv umeishia kjdato gani?BMWX6 gari ya kawaida haina bei mbaya hata milion 30 unapata, anayo na prado ya kizamani, mwana bongo fleva mwenye gar ya maana ni lady jadee anayo VOGUE SPORT, hata kipanya hamer yake ya bei mbaya, diamond show off tu hana kitu
Huyo jamaa usibishane tunamjua vizuri hapa jamiiforum ni mtu mwenye chuki Sana kwa watu wenye mafanikio kwa hiyo utapoteza muda wako bureBasi kaka
ninayo pesa ya kukulisha wewe, na ukoo wako wote mpaka siku mnaenda kaburini nyau weweSasa unaitwa laki si pesa unazani utakuwa na akili kweli Toa upumbavu hapa tutakutoa jamii forum eboooh
Bwana innocent dependent huyo dogo nahis anapenda lala kisogo kaelekezA juuu ..MOND EAST AFRICA KWA WASANII WA PILI KIPESA ANA UTAJIRI DOLA M 4 ANAYEONGOZA NI CAMELEONE DOLA M 5We jamaa una tatizo la ubongo Sasa wewe diamond unaweza kumfanisha na Nani kipesa na wasanii wako wa bongo?una onekana una chuki binafsi huna lolote mwenzako ana kupa facts wewe unaropoka hiv umeishia kjdato gani?
Huna pesa wewe ungekuwa na pesa usingekuwa una wivu na watu wenye mafanikio yaani nimekushangaa et diamond Hana pesa ya kununua gari la hata mil 50 eti anafanya show off wewe jamaa una wivu mpaka shetani umemshinda hii kauli yako ungeongea kwenye press conference watu wangekupuuzia Sananinayo pesa ya kukulisha wewe, na ukoo wako wote mpaka siku mnaenda kaburini nyau wewe
diamonda hana pesa yoyote ni fukara wa kutupwa, ana nini zaidi ya kale ka kibanda ka madale? hata AY anamzidi kwa mjengo mkaliWe jamaa una tatizo la ubongo Sasa wewe diamond unaweza kumfanisha na Nani kipesa na wasanii wako wa bongo?una onekana una chuki binafsi huna lolote mwenzako ana kupa facts wewe unaropoka hiv umeishia kjdato gani?
Panya wewe,mimi ninayo pesa ya kukulisha wewe na ukoo jumlisha kijiji chako chote mpaka mnaenda kaburini na kufufuka wewe,panya jumlisha nyau wewe square ebooohninayo pesa ya kukulisha wewe, na ukoo wako wote mpaka siku mnaenda kaburini nyau wewe
AY muuza madawa ya kulevya afu mzee wa miaka 50 ndo umlinganishe na diamond icon ya taifa go to helldiamonda hana pesa yoyote ni fukara wa kutupwa, ana nini zaidi ya kale ka kibanda ka madale? hata AY anamzidi kwa mjengo mkali
Thread ilitakiwa iishie hapaharmonise bila domo ni mmakode wa chitoholi ambaye hata kuimba nyimbo ya malaika hawezi
Mashabiki wa kibongo bana, sijui huwa mnafikiria nini, Ulishawahi kuwa na takwimu ya pesa aliyokuwa nayo Mr. Nice mpaka unafanya ulinganifu?Harmonize hafikii hata robo ya Mr. Nice wa wakati ule. Kipesa na kiumaarufu.
Hizo milioni 300 ni hela ndogo sana kwa mtu mwenye lifestyle yake.
Wasanii wakubwa kama kina 50 Cent, Jay Z, Eminem walikuwa chini ya lebo na ukubwa wao wa wakati huo hadi wakaenda kuanzisha lebo zao. Huyo Harmo ana nini?
Wizkid, Davido ni wakubwa mara 100 ya Harmo, wapo chini ya lebo.
Milioni 300 kitu gani bhana??
Team Kiba bhana....kaaazi mnayoMashabiki wa kibongo bana, sijui huwa mnafikiria nini, Ulishawahi kuwa na takwimu ya pesa aliyokuwa nayo Mr. Nice mpaka unafanya ulinganifu?
Unauliza Harmo ana nini? kwa hiyo umejitoa akili kujua ananini? Basi anahicho kinachofanya tumjadili.
Ati!! milioni 300 kitu gani? Ni vigumu kujua ni kitu gani ila kama unataka kujua ni nini tafuta mzee halafu umuulize hilo swali atakujibu kwa ufasa kabisa.
Muda ni mwalimu sisi tupo tutaona mengi hakuna mtu anazuiliwa kutoka ila je ataweza kusimama pekee ukiangalia 90% ya mashabiki wa harmo ni wa wcb akiondoka wcb hii asilimia ya mashabiki anapoteza wcb ndio walikuwa wanampa connection na wakubwa je Leo je atakuwa na ushawishi ule ule Bila kuwa wcb? ukiangalia wcb wametengeneza mashabiki wao ndani na nje ya nchi je anaweza kupambana na fitna za mziki? Kumbuka pia harmo aliwatukana clouds media wakati akifanya show ile iliyofanyika taifa je unawezaje kupona katika mziki ukiwaumeariibu kwa wakubwa wawili wa mziki yaani wcb na clouds media kwa pamoja?
Team Kiba? Yaani niwe mshabiki wa mtu kweli? Kama ni ushabiki basi mimi huwa mshabiki wa taasisi/mfumo na siyo mtu. Hata hivyo mbona uzi unamzungumzia Konde Boy na siyo Ali kiba unayemzungumzia? Vipi uko na tatizo la kuchanganya mada?Team Kiba bhana....kaaazi mnayo
AY muuza madawa ya kulevya afu mzee wa miaka 50 ndo umlinganishe na diamond icon ya taifa go to hell