Harmonize kashuka Orodha ya Wasanii wa Muda Wote Waliotazamwa Zaidi YouTube

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Hii ni orodha ya wanamuziki wa kiume Tanzania waliotazamwa zaidi YouTube kwa muda wote, ambapo wasanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na rayvanny wameongoza.

1. Diamond Platnumz 2.2B
2. Rayvanny 955M
3. Harmonize 933M
4. Mbosso 567M
5. Alikiba 265M
6. Lava Lava 237M
7. Aslay 191M
8. Marioo 174M
9. Sifaeli Mwambuka 139M
10. Christopher Mwahangila 118M

Enzi yupo na Baada ya kujitoa pale mjini WCB Harmonize alikuwa anamfuatia Diamond kwa views, lakini sasa ni watatu[emoji23].

Je, yaw yaw, ameanza kukata moto?

 
Kapambana sana sana hata hapo alipo sio mbaya as long as % inaishia mfukoni mwake
 
Sasa unasemaje rayvanny na diamond wameongoza wakati dogo kapigwa gapi zaidi ya mara mbili na kidogo harafu unawaweka group Moja?
Wapo top 2[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…