Hum B
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,045
- 1,468
Mkuu zinaishia vipi zote kwake? Unajua kama jembe ana asilimia zake hapo?Kapambana sana sana hata hapo alipo sio mbaya as long as % inaishia mfukoni mwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu zinaishia vipi zote kwake? Unajua kama jembe ana asilimia zake hapo?Kapambana sana sana hata hapo alipo sio mbaya as long as % inaishia mfukoni mwake
Mkuu Marioo ni mkubwa hapa bongo tu akijitahidi sana kenya , Nakingine Marioo ajafika ata robo ya ukubwa wa harmonize sasa atakua vipi nambari moja?By now Marioo alipaswa kuwa wa kwanza
Mkuu Marioo ni mkubwa hapa bongo tu akijitahidi sana kenya , Nakingine Marioo ajafika ata robo ya ukubwa wa harmonize sasa atakua vipi nambari moja?
Utimu unaua sana mziki wetu brotherBy now Marioo alipaswa kuwa wa kwanza
Harmonize fundi sanaIle Single again imetamba sana
Ukizingatia wapili na watatu wameachana kidogo sanaHajadrop yuko top 3 ni jambo kubwa hilo
Ni Mnyakyusa wa Mbeya ila anaishi Dar. Karibia kila siku anaachia wimbo. Halafu nyimbo binafsi sizielewi lakini ndio zinaangaliwa kweli mkuu[emoji16]. Wewe andika tu Sifael Mwabuka you tube utaona nyimbo zakeWawapi huyo mkuu.....simfahamu
Huyo dogo nyimbo zake zinapigwa maclub kwenye masherehe mpaka kero cha msingi yule demu Pau hasimtoe kwenye line.By now Marioo alipaswa kuwa wa kwanza
Huyu Labani og unamjua? Akiamua kuwa mshabiki wa kitu fulani atatafuta kila siku mada ya kumponda mpinzaniMarioo kapitwa na Aslay na Lava lava kwa kipiii?? Hii orodha ya mchongoo khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23