Harmonize kashuka Orodha ya Wasanii wa Muda Wote Waliotazamwa Zaidi YouTube

Ila huyu Sifael Mwabuka ni kama utani vile. Alianza kama fala fulani hivi lakini leo Mungu amemuinua! Anamzidi hadi Christopher Mwahangila!?
 
Mkuu Marioo ni mkubwa hapa bongo tu akijitahidi sana kenya , Nakingine Marioo ajafika ata robo ya ukubwa wa harmonize sasa atakua vipi nambari moja?

Ile Single again imetamba sana
 
Kwenye maisha ya muziki
Ukiwa na upendo utaishi
Timu hazijengi urafiki
Tusije kuuana kwa kugombania viti
 
Ila huyu Sifael Mwabuka ni kama utani vile. Alianza kama fala fulani hivi lakini leo Mungu amemuinua! Anamzidi hadi Christopher Mwahangila!?
Wawapi huyo mkuu.....simfahamu
 
Kwenye maisha ya muziki
Ukiwa na upendo utaishi
Timu hazijengi urafiki
Tusije kuuana kwa kugombania viti
[emoji23][emoji23] Hapa ndipo wanaija wanatupoteza ....jamaa wanabebana sana
 
Wawapi huyo mkuu.....simfahamu
Ni Mnyakyusa wa Mbeya ila anaishi Dar. Karibia kila siku anaachia wimbo. Halafu nyimbo binafsi sizielewi lakini ndio zinaangaliwa kweli mkuu[emoji16]. Wewe andika tu Sifael Mwabuka you tube utaona nyimbo zake
 
Poa poa mzee
 
Marioo kapitwa na Aslay na Lava lava kwa kipiii?? Hii orodha ya mchongoo khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marioo kapitwa na Aslay na Lava lava kwa kipiii?? Hii orodha ya mchongoo khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23
Huyu Labani og unamjua? Akiamua kuwa mshabiki wa kitu fulani atatafuta kila siku mada ya kumponda mpinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…