Harmonize kashuka Orodha ya Wasanii wa Muda Wote Waliotazamwa Zaidi YouTube

Kiba Sio kama hawezi kuongoza la hasha,, ila kawapisha kina mondi hapo juu kwa kuwa yeye apendi shooofu🚶‍♂️
 
Ngoja niende kula ganja kwa hasira niweke youtube nyimbo za hamonizer arudi namba wani

 
Huyo dogo nyimbo zake zinapigwa maclub kwenye masherehe mpaka kero cha msingi yule demu Pau hasimtoe kwenye line.

Kwa miaka hii miwili mpaka sasa hamna anaye mfikia kwa hit songs.
Jamaa yupo on fire
 
Marioo kapitwa na Aslay na Lava lava kwa kipiii?? Hii orodha ya mchongoo khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu.....hii ni orodha ya views YouTube [emoji23][emoji23]

Marioo ni mkali......ila Hana views wakutosha mjini YouTube
 
Kapambana sana kwa mapambano aliyopitia asingeweza kuwa hapo maana nje ya wwsafi na bifu na wasafi bado yuko hapo kapambana kweli.
Wasafi hawajawahi kuwa bifu na yeye , yeye ndio ana bifu na wasafi na wasanii wengi wa bongo wamekariri iliutoboe ni lazima uwe na bifu na mondi mbona marioo anafanya poa bila hata kuwa na bifu na mondi
 
Wasafi hawajawahi kuwa bifu na yeye , yeye ndio ana bifu na wasafi na wasanii wengi wa bongo wamekariri iliutoboe ni lazima uwe na bifu na mondi mbona marioo anafanya poa bila hata kuwa na bifu na mondi
Yaaah kabisa mkuu....Kuna huyu chindo man alitrend sana Baada ya ku mchallange mond mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…