Harmonize kasuka zaidi ya miezi 6 bila kufumua

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi?

Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi.
 
Mmh kwani naye ni wa kikeni?
Jr[emoji769]
 
Mnataka wake zenu wasuke twende kilioni ili mkwepe gharama za kununua rasta kkoo au tatizo nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…