Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
- #21
Labda wigi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wigi
Kwani huo uzi wangu umeona kuna sehemu umeandikwa na jumuiya?Mnataka wake zenu wasuke twende kilioni ili mkwepe gharama za kununua rasta kkoo au tatizo nini ?
Ngeli ya wingi na umojaKwani huo uzi wangu umeona kuna sehemu umeandikwa na jumuiya?
Mtu=Watu.
Chuma=Vyuma.
Sikio=Masikio.
Najua utaelewa.
Tutajie tarehe na mwezi aliyosuka kwani inaonekana wewe ndiye uliyemsuka.Hebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi?
Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi. View attachment 1392129
Kwahiyo anakaa wanamsuka??
Nakumbuka nikiona dada zangu wakisukana kwenye vigoda, ndio hivyo hivyo ama??
Labda ndo Sarah!
Wale Wamasai huwa wanasokota mara kwa mara nywele zao au ni mara moja katika kipindi chote cha maisha yao?
Ndio maana Africa hatuendelei kwa kufuatilia maisha ya watuHebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi?
Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi. View attachment 1392129
Sijui anataka kuunga mkono kikeni maana anaona anapenda kuunga juhudi.
Bado yupo manMarcelo hivi bado yuko Madrid? Dah Corona imemficha sana huyu mshikaji.