Inatukana viongozi wa nchi
DuuhHebu leo wanawake semeni nyie mnasukaje maana kila wiki mnaenda salon kusuka ila huyu Harmonize ni zaidi ya miezi 6 tangu asuke ila nywele zake zina ubora tofauti na nyie tatizo liko wapi?
Kwanini msisuke kama Harmonize ili mpunguze matumizi ya mara kwa mara katika ususi. View attachment 1392129