Harmonize amewatumia mtoto(paula) na mama(kajala) kutrend,haiwezekani msanii kama harmonize eti atume uchi wake mtandaoni akijua kua lolote laweza tokea picha hizo zikavuja.
Zilizovuja ni meseji za whatsapp ambazo ni rahisi sana kutengenezwa kwa kutumia namba mbili za simu kwasababu hapo huwezi kuthibitisha majina ya mtumaji na mtumaji bora hata zingekua ni meseji za insta
Eti kuna watu wameamini kabisa kua jamaa katembea na mtoto na mama yake akiwemo Rayvanny ambae alimpost harmnize eti akimshangaa kutembea na paula bila kujua kua anamfanya jamaa aendelee kutrend
Hapo jana harmonize alitoa wimbo ambao kwa namna moja au nyingine unazungumia skendo yake na paula hii inatuonyesha kua jamaa aliipanga hii skendo toka mda tu ili atrend
Kiufupi ni kwamba picha alilolicheza harmonize limeenda kama alivyotaka yeye na limefanikiwa
Ngoja tuone akiwa anataka kutoa wimbo atacheza picha gani jingine