Harmonize kucheza na akili za watu ili atrend

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Harmonize amewatumia mtoto(paula) na mama(kajala) kutrend,haiwezekani msanii kama harmonize eti atume uchi wake mtandaoni akijua kua lolote laweza tokea picha hizo zikavuja.

Zilizovuja ni meseji za whatsapp ambazo ni rahisi sana kutengenezwa kwa kutumia namba mbili za simu kwasababu hapo huwezi kuthibitisha majina ya mtumaji na mtumaji bora hata zingekua ni meseji za insta

Eti kuna watu wameamini kabisa kua jamaa katembea na mtoto na mama yake akiwemo Rayvanny ambae alimpost harmnize eti akimshangaa kutembea na paula bila kujua kua anamfanya jamaa aendelee kutrend

Hapo jana harmonize alitoa wimbo ambao kwa namna moja au nyingine unazungumia skendo yake na paula hii inatuonyesha kua jamaa aliipanga hii skendo toka mda tu ili atrend

Kiufupi ni kwamba picha alilolicheza harmonize limeenda kama alivyotaka yeye na limefanikiwa

Ngoja tuone akiwa anataka kutoa wimbo atacheza picha gani jingine
 
Jamaa ni mshenzi sanaaaaaaa yaani mama na mwana kapiga
 
Eeeh Kama harmo sina acces nae si naenda tumia nilichonacho
Maumbile makubwa ni bidhaa adimu Kumbe ndo maana na wanaume nao wanawapangishia ndogondogo nyumba ndogo na magari wanatoa wakikutana na tight maana maumbile tight yamekuwa bidhaa adimu.
 
Back
Top Bottom