Harmonize kufunga ndoa usiku huu

Harmonize kufunga ndoa usiku huu

gijos

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,171
Reaction score
1,786
Msanii wa bongo fleva Harmonize na mrembo wake kutoka italy bibie Sarah wanatarajia kufunga ndoa usiku huu pale serena hotel.

Source jikoni.
 
Endeleeni kubisha.wakati watu tupo eneo la tukio.
 
Video eneo la tukio.
 
Hongera kwake....

hope sio kiki....
 
Kwahiyo domo kakimbilia fasta kutoa ile colabo ili kuzima shangwe za harusi dablyusibi wana mashariti gani mbona kijana kutoka tu kaoa hongera konde boy #jeshi
 
Msanii wa bongo fleva Harmonize na mrembo wake kutoka italy bibie Sarah wanatarajia kufunga ndoa usiku huu pale serena hotel.

Source jikoni.
Duuuuuuh ulikuwa jela mkuu? Mbona uzi upo tangia jana humu?
 
IMG_7471.JPG
 
Back
Top Bottom