Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndoa inafungwa jf
weka pichaEndeleeni kubisha.wakati watu tupo eneo la tukio.
Du watu mpo vizuri manake hata mm sikuamini,hongera yake kijana.
Sijaona aliyebisha lakiniEndeleeni kubisha.wakati watu tupo eneo la tukio.
Duuuuuuh ulikuwa jela mkuu? Mbona uzi upo tangia jana humu?Msanii wa bongo fleva Harmonize na mrembo wake kutoka italy bibie Sarah wanatarajia kufunga ndoa usiku huu pale serena hotel.
Source jikoni.