Siwezi kuidharau hii habariHii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.
Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...
ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
boss wake mwenyewe hana nidhamHarmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake
Makonda pia alimuweka ndani dj wa Diamond rommy Jones wa wcb kwa kesi ya madawa ya kulevya, nayeye alikua anamshusha itakua eehh..Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.
Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.
Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...
ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na huku upo???Hebu weka picha akiwa anavuta bangi.
Kwasababu anavuta mafegi mkuu?Harmonize atakuwa na mwisho mbaya sana ni swala la muda tu, ameshindwa kuwa na nidhamu kama boss wake
Nipo kote mkuu!Mkuu na huku upo???
Wewe una cheo gani WCB ? kama Gwajima tu aliitwa , harmonize mbona kawaidaHii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.