Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Tetesi: Harmonize kujitoa WCB mwaka huu

Wamachinga kwa bangi utawaweza wapi! Huyu Bashite nae akatafute bwana mbele huko, yeye kila kukicha kuwawekea watu mikwara tu.
 
Lil Wyne pamoja na kuwa anamiliki vitenga uchumi vyake lakini bado yupo under Bird Man Young Money, tatizo sisi wabongo tukisha pata hela ya kuweza kuhonga basi tumesha maliza..
 
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB.
Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake.

Kutokana na kukua kiuchumi na mabadiliko ya tabia na ulevi wa sigara/bangi.,kijana aambiliki kwa sasa.

Na kuna mpango mkakati uko chinichini kumdondosha pale alipo..umewahi jiuliza kwann Mlezi atoe kauli ile kwa harmonize? Kwann hasingemsubiri arudi hadi anamuhusisha na bangi mbele ya media ule si ulezi ,ni mpango maalumu kumdrop...

ukitaka kumuua paka MPE jina baya utamuua kiraisi...



Sent using Jamii Forums mobile app
JIfunze kutofautisha kati ya hisia na uhalisia
 
Ussishie kukariri Maneno , Clouds media group ilikuwa zaid ya Media House
Nmekuuliza kuna ulinganifu gani kati ya Clouds Media Group (Media House) na WCB (Music Group) ?
 
Kwahiyo bashite asinge ongea vile leo kusingekua na uzi wa kumuhusu harmonize.
Usinikumbushe ya qboy msafi aliondoka kwa mbwembwe wcb saiv analia anaomba arudi.
 
Back
Top Bottom