Si ana management na hio ndio itakayomfaulisha au kumfelisha.....hakurupuki huyuMarch 11 ndo siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada anjella kama msanii mpya kweny lebo hiyo ,kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)
Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.
View attachment 1717908View attachment 1717909
Gari lipo mbagala limepaki[emoji196][emoji196][emoji196]hivi konde mgahawa iliishia wapi?
Kwani hiyo Mgahawa ulikuwa ni biashara au charity ?Gari lipo mbagala limepaki
Short term plansGari lipo mbagala limepaki
Baki hapaah lol[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Sio wote tunafanana mtazamo, ukiona kuna mtu anakukera wee mu ignore kimya kimya tyuuh, usimu attack public hivi.Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.
Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.
Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.
Always Soldier On [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Yes, unaweza kumpuuza mtu mara moja, mbili au zaidi. Lakini huwezi kumpuuza mtu siku zote.Sio wote tunafanana mtazamo, ukiona kuna mtu anakukera wee mu ignore kimya kimya tyuuh, usimu attack public hivi.
Sio vizuri
Ooooh bas sawaah.Yes, unaweza kumpuuza mtu mara moja, mbili au zaidi. Lakini huwezi kumpuuza mtu siku zote.
Hii ni JF ni ngumu kutengeneza cult following.
Ndio maana watu wote maarufu hawawezi mijadala humu, wamefungua accounts huko Twitter na Instagram ili wapate watu wa kuwaabudu tu, watakao wachallenge wana block.
Sasa ukitaka cult following JF utakwama. Wengi wamekwama.
March 11 ndo siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada anjella kama msanii mpya kweny lebo hiyo ,kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)
Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.
View attachment 1717908View attachment 1717909
Pazito hapa mjukuu wenye vijicho roho zitawaumaBaki hapaah lol
Harmonize hadi sasa amemsaidia nani kutoka kimuziki? Saa nyingine inabidi uwe realist tu. Ukweli ni kwamba kwamba ana kundi la wasanii ila waliotoka unawamulika kwa tochi.Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.
Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.
Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.
Always Soldier On 💪💪💪💪💪💪