Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

March 11 ndo siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada anjella kama msanii mpya kweny lebo hiyo ,kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)

Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.

View attachment 1717908View attachment 1717909
Si ana management na hio ndio itakayomfaulisha au kumfelisha.....hakurupuki huyu
 
Gari lipo mbagala limepaki
Kwani hiyo Mgahawa ulikuwa ni biashara au charity ?

Ukiwa na charity organization unatakiwa kuwa unatoa msaada kila Siku au kila mwezi ??

Na hata kama ilikuwa ni biashara ikafeli kuna kitu cha ajabu hapo ??

Ni mnyabiashara gani ambaye kila biashara anayoanzisha huwa ina TICK ??

Get to your senses, niggas.
 
Kijana ameshaishiwa ...anajaribu kutafuta namna ya kuzungumziwa ila amefeli.

Alianzisha shoo za club lakini ikabuma alivyoona muitikio mdogo akasingizia anaumwa ..mpaka leo azungumzii tena ile shoo kiufupi kijana atafute washauri wazuri na menejimenti yake inapaswa iwe smart vinginevyo ameshakua msanii wa kawaida.
 
Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.

Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.

Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.

Always Soldier On [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Sio wote tunafanana mtazamo, ukiona kuna mtu anakukera wee mu ignore kimya kimya tyuuh, usimu attack public hivi.
Sio vizuri
 
Sio wote tunafanana mtazamo, ukiona kuna mtu anakukera wee mu ignore kimya kimya tyuuh, usimu attack public hivi.
Sio vizuri
Yes, unaweza kumpuuza mtu mara moja, mbili au zaidi. Lakini huwezi kumpuuza mtu siku zote.

Hii ni JF ni ngumu kutengeneza cult following.

Ndio maana watu wote maarufu hawawezi mijadala humu, wamefungua accounts huko Twitter na Instagram ili wapate watu wa kuwaabudu tu, watakao wachallenge wana block.

Sasa ukitaka cult following JF utakwama. Wengi wamekwama.
 
Ooooh bas sawaah.
 
Naona dirisha la usajili limefunguliwaa🍃🍃
March 11 ndo siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada anjella kama msanii mpya kweny lebo hiyo ,kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya lebo ya konde music watakua wamefika 7 (Harmonize, Ibrah, Country wiz, Cheed, Skales, Kill na Anjella)

Harmonize ataweza kuwamudu wasanii wote hawa maana wengine aliwatambulisha hata nyimbo hawajatoa mpaka leo, ibra anaenda kwa kusuasua, Country Wiz haeleweki.

View attachment 1717908View attachment 1717909
 
Sio wote tunafanana mtazamo, ukiona kuna mtu anakukera wee mu ignore kimya kimya tyuuh, usimu attack public hivi.
Sio vizuri
Ungejua wewe na huyo jamaa na Numbisa mpo chama kimoja 😃 usingemshambulia ,au Kwa vile Mshana Jr alikuwa member wa jukwaa letu pendwa lililofutwa 😃..... ant-WCB
 
Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.

Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.

Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.

Always Soldier On 💪💪💪💪💪💪
Harmonize hadi sasa amemsaidia nani kutoka kimuziki? Saa nyingine inabidi uwe realist tu. Ukweli ni kwamba kwamba ana kundi la wasanii ila waliotoka unawamulika kwa tochi.
 
1.Konde Mgahawa.
2.Kuzindua album kwa mara ya pili Uhuru 27 may 2020.
3.Kuzindua album hiyo hiyo kwa siku 3 mfululizo Uhuru Stadium kuanzia 7 Nov 2020 chini ya usimamizi wa Efm.
4.Konde in da club tour.
5.Akatangaza show Kahama dec ktk Uwanja uleule waliopiga show Wasafi dec.

Zote project hazikufanikiwa.

Yeye mwenye hawapi wasanii wake nafasi kila siku anatoa nyimbo,hawapi nafasi wasanii wake wasikike kwani mwezi wa 12 to Jan kaachia nyimbo tatu,Jan mwanzo Ibra nae kaachia Ep yake yenye nyimbo tatu na mwezi wa nne anatimiza mwaka na nasikia Cheed na killy kabla ya mwezi wa sita wana achia album,now anamtoa msanii huyu ambaye sijajua amekaa nae kwa kipindi gani.

OK ngoja tuone muda utaongea,ila naona kijana yupo vizuri hela anayo kuhandle hizo projects kwa mpigo si swala dogo ,zisipo rudisha hela atajuta mbaya zaidi wasanii nao kama wakimkimbia manake wasanii wabongo hawa eleweki.
 
....anyway kila la heri kwake maana kama sio harmonize huyo Anjella tusingemjua....
 
Back
Top Bottom