Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Harmonize kumtambulisha Anjella, Konde Gang

Harmonize ana unfinished business nyingi sana atakuwa kama daudi Bashite sasa sijui ni sifa anatafuta au ni nini kiukweli hata huyo Ibra bado sana ,Mara atangaze anafungua radio,Mara wasanii ambao kiukweli majina tu ndio yanasikika ila kazi bado..Diamond ni mjanja sana MTU pekee ambaye anasajili kwa uangalifu na kufikiri Mara miamia... Yeye harmo ni copy na kupaste basi sawa ngoja tuone mwisho.
 
Huyo mwamba utakesha mkuu , yeye ni ant- Diamond na WCB Kwa ujumla.....ana chuki kali Sana Yan hata matusi ya nguoni anatukana , wakat hv vitu bi burudani tuu , stuation na wakat ndo vinaamua nan yupo juu , mpak sasa Kondeboy ameshindwa kabisa (miserably defeated) kukata kiu ya wanaochukia WCB.... Sku akiweza kuwa juu tutamsifia tuu, lakn hatuwez kumpamba mtu ambaye kiuhalisia kiwango cha ukubwa anachotaka kutuaminisha hana , Hali halisi inaonyesha hvyo
Mtoto wa mjengoni huyo.
 
Huyo mwamba utakesha mkuu , yeye ni ant- Diamond na WCB Kwa ujumla.....ana chuki kali Sana Yan hata matusi ya nguoni anatukana , wakat hv vitu ni burudani tuu , stuation na wakat ndo vinaamua nan yupo juu , mpak sasa Kondeboy ameshindwa kabisa (miserably defeated) kukata kiu ya wanaochukia WCB.... Sku akiweza kuwa juu tutamsifia tuu, lakn hatuwez kumpamba mtu ambaye kiuhalisia kiwango cha ukubwa anachotaka kutuaminisha hana , Hali halisi inaonyesha hvyo
Tabia za kimama zibaki nyumbani tu.
 
Ungejua wewe na huyo jamaa na Numbisa mpo chama kimoja [emoji2] usingemshambulia ,au Kwa vile Mshana Jr alikuwa member wa jukwaa letu pendwa lililofutwa [emoji2]..... ant-WCB
@Mshana Jr ni babuuh yangu, hata km tupo team tofauti siwezi kumu attack, na km nitamu attack bas kwa staha sio km vile alivofanya mwenzangu.
But anyway ngoja nikae pembeni, niangalie tyuuh.
 
Naona kama nae anatembea kwenye njia ya yule wa kariakoo. Hafanyi jambo likakamilika. Ktk aliowasajili ni Ibra tu ndio anasikika.
 
Wahenga wanadai ulevi wa chochote kwa wastani, hata sungura anakula majani kwa wastani!
Sasa binadamu twala majani na wengine kuyachoma na kuvuta moshi kwa fujo! Sasa kasheshe yake ndiyo haya!
 
Joh Makini alianzisha Label inaitwa Makini Records akatambulisha na msanii anaitwa William anafanya ñini sasa hivi ??

Navy Kenzo walikuwa na Label iko wapi sasa hivi ??

Huyo Harmonize ni Darasa la 7 tu na elimu ya madrassa anaizidi midubwana mikubwa na ndevu juu, at least kwenye nchi ya watu 60M he is doing something.

Huyo Anjella alikuwa mtaani, kwahiyo aachwe tu huko mtaani ???

The world is full of dumb people. God help.
Mkulima hakatai kulima kwasababu fulani alilima kipindi kilichopita na kuvuna mabua....
 
Mkulima hakatai kulima kwasababu fulani alilima kipindi kilichopita na kuvuna mabua....
Sisi ndio tulikukaribisha hapa kijijini na tukakukodishia shamba ulime, kwahiyo ukiona tumelima ekari 5 na wewe usilime utaonekana unashindana na sisi.

Tena tunapendekeza uache kulima kabisa Kwasababu bila sisi hakuna utakachoweza.
 
Mimi siyo mnafiki. Amchukue basi yeye Anjella amsaidie.

Anasema eti sikio kukizidi kichwa, kwahiyo huyo Harmonize anatakiwa aache kabisa muziki iki awafurahishe walimwengu kwamba bila WCB hakuna kitu.

Dunia siyo mali ya mtu, soko litaamua.

Always Soldier On [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kuna wakati ruhusu kusikia usichokipenda pia kuna faida
 
Back
Top Bottom