nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Jamani kijana anaonekana nyuma yake kuna mijitu yenye mipango mizito siyo mchezo wanaodhania ataanguka kizembe kama rich mavoko wanakosea aisey maana dogo ananunua dira tv ya msama muda si mrefu.
Hii bila shaka ni habari njema kwa wale wafanyakazi wa msama wanaotaabiaka mda mrefu bila mshahara.
Hii bila shaka ni habari njema kwa wale wafanyakazi wa msama wanaotaabiaka mda mrefu bila mshahara.