Harmonize kuongeza wasanii watatu August hii

Harmonize kuongeza wasanii watatu August hii

Kuna kikundi naona kinatamani kulia ila ndo hivyo sasa muziki uwe mpana sio wa kikundi fulani
wcb wangekua wanaroho mbaya wasinge wabrand wasanii wao kiasi kile coz wanajua wakiwa wakubwa wanaweza gombana, wangeiga style ya kiba bt kwa kua lengo lao nikuwafikisha watu kwenye kilele cha mafanikio ndo maana harmo unamuona pale...

wcb hawana mshindani bongo na wala hawatopata mshindani coz wale jamaa wamejipanga sio mchezo.
 
Back
Top Bottom