Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,924 Jul 18, 2020 #21 innocent dependent said: Remember na issue ile ya mgahawa sijui imeishia wapi? Click to expand... Mkuu haya majina ni mtu mmoja au ni wawili
innocent dependent said: Remember na issue ile ya mgahawa sijui imeishia wapi? Click to expand... Mkuu haya majina ni mtu mmoja au ni wawili
Y yuzazifu JF-Expert Member Joined Oct 6, 2018 Posts 5,108 Reaction score 9,436 Jul 19, 2020 #22 Numbisa said: Kuna kikundi naona kinatamani kulia ila ndo hivyo sasa muziki uwe mpana sio wa kikundi fulani Click to expand... wcb wangekua wanaroho mbaya wasinge wabrand wasanii wao kiasi kile coz wanajua wakiwa wakubwa wanaweza gombana, wangeiga style ya kiba bt kwa kua lengo lao nikuwafikisha watu kwenye kilele cha mafanikio ndo maana harmo unamuona pale... wcb hawana mshindani bongo na wala hawatopata mshindani coz wale jamaa wamejipanga sio mchezo.
Numbisa said: Kuna kikundi naona kinatamani kulia ila ndo hivyo sasa muziki uwe mpana sio wa kikundi fulani Click to expand... wcb wangekua wanaroho mbaya wasinge wabrand wasanii wao kiasi kile coz wanajua wakiwa wakubwa wanaweza gombana, wangeiga style ya kiba bt kwa kua lengo lao nikuwafikisha watu kwenye kilele cha mafanikio ndo maana harmo unamuona pale... wcb hawana mshindani bongo na wala hawatopata mshindani coz wale jamaa wamejipanga sio mchezo.