Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

Harmonize kusemwa imesaidia, amefanya diet mwili umepungua

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi.

Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema sana kuwa anakuwa bonge, mpaka akaona aibu akaanza kushinda njaa na kufanya mazoezi makali, Sasa mwili umeisha.

Nimekuja kugundua kumbe comment za mashabiki wanasoma, Sasa hata hata ile Inshu ya kusema Harmonize anatamba mtaani Diamond atakuwa anajua.

Sasa Harmonize asaidie wengine diet yake

Screenshot_20220714-215556.jpg
 
Jamaa au dawa za kulevya zinamkondesha, ila hata kwenye traki ya deka kasema anajinyima ila apungue
 
Back
Top Bottom