Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Hivi bwashee hujui kuwa huyu dogo kasaidiwa sana na yule nabii mkuu aka kingdom spokesman?Hili ni Somo zuri Kwa vijana na mabonge na mastaa wanene mpaka watangazaji, Ulaya mtangazaji akiwa mnene hapewi kazi ktk television, lazima uwe na umbo Dogo zuri, angalia, BBC, CNN, aljazira, wion. Kwetu hasa ITV watangazaji ni wanene kupita kiasi.
Tuje kwenye mada, Harmonize tembo wamemsema sana kuwa anakuwa bonge, mpaka akaona aibu akaanza kushinda njaa na kufanya mazoezi makali, Sasa mwili umeisha.
Nimekuja kugundua kumbe comment za mashabiki wanasoma, Sasa hata hata ile Inshu ya kusema Harmonize anatamba mtaani Diamond atakuwa anajua.
Sasa Harmonize asaidie wengine diet yake
Konde boy kawekwa sawa na Geor Davie sasa anatoboa tu