kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
[emoji3]Bob Junior aliibuka from nowhere akaanza jitapa ni billionaire, haijpita wiki akakamatwa kupelekwa wodi ya vichaa.
Umeongea kistaarabu tatizo watanzania ni watu wa ku-dis sana hawana jema, mfano angesema anafanya bure watu wangemdisi tunakizazi cha ajabu ambacho hakina jemaWakati anatoka Wasafi alikuwa charged Mil 500+ kwa sababu ile management iliamini kwa ilipomtoa imegharamika mpaka Harmonize amefika hapo. Alipotoka wengi tulijua atafail tu lakini amepambana kujisimamia mpaka amefika hapo.
Kwa hapo alipo mimi sioni shida kwa hicho alichotamka kwa sababu kwa namna thamani yake ilivyo ameona anastahili kupata chochote kitu kutokana na nyimbo anazoshirikishwa. Yan isiishie tu mshirikishaji kupata kolabo ya Harmonize na kukuza fanbase yake lakini pia afaidike Harmonize kwa kuongeza mfuko wake na wote kukuza majina yao. Lakini pia itamsaidia mshirikishaji kumuwajibisha Harmonize kufanya kazi kwa bidii
Good move Harmonize chanzo kingine cha mapato kimekaa kihasara hasara. Tutambue thamani zenu vya bure siku hizi hakuna
Aisee! Bonge moja la ufafanuzi. Safi sana.Wakati anatoka Wasafi alikuwa charged Mil 500+ kwa sababu ile management iliamini kwa ilipomtoa imegharamika mpaka Harmonize amefika hapo. Alipotoka wengi tulijua atafail tu lakini amepambana kujisimamia mpaka amefika hapo.
Kwa hapo alipo mimi sioni shida kwa hicho alichotamka kwa sababu kwa namna thamani yake ilivyo ameona anastahili kupata chochote kitu kutokana na nyimbo anazoshirikishwa. Yan isiishie tu mshirikishaji kupata kolabo ya Harmonize na kukuza fanbase yake lakini pia afaidike Harmonize kwa kuongeza mfuko wake na wote kukuza majina yao. Lakini pia itamsaidia mshirikishaji kumuwajibisha Harmonize kufanya kazi kwa bidii
Good move Harmonize chanzo kingine cha mapato kimekaa kihasara hasara. Tutambue thamani zenu vya bure siku hizi hakuna
The sun heading to sunsetBoss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu.
"Naanza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa collaboration sharti ngima iwe kali. I cant wait kumchaji mtu fulani Milioni 500" ameandika Harmonize
#EastAfricaTV #Harmonize #KondeGangView attachment 2433193