Harmonize kutoza 100m kwa 'collab'

Harmonize kutoza 100m kwa 'collab'

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Boss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu.

"Naanza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa collaboration sharti ngima iwe kali. I cant wait kumchaji mtu fulani Milioni 500" ameandika Harmonize

#EastAfricaTV #Harmonize #KondeGang
FB_IMG_1669960084632.jpg
 
Harmonize Hana hadhi ya kupewa mil 100 kama kolabo , atafute chanzo kingine cha hela kama matumizi yamekuwa makubwa kuliko anachopata , Hayupo wa kumpa harmonize mil 100, .... Yeye aendelee kutoa Ngoma back to back ili alambe za platform... Mana hana pengine pa kupatia vijisenti
 
Yeye mwenyewe ndie analazimisha collabo..

Kila wimbo uki hit anataka collabo na yeye awepo kwenye remix,, ooh moyo kalazimisha

Champions ya kontawa harmonize kabembeleza apewe collabo mwisho wa siku kaenda kuharibu wimbo
 
Wakati anatoka Wasafi alikuwa charged Mil 500+ kwa sababu ile management iliamini kwa ilipomtoa imegharamika mpaka Harmonize amefika hapo. Alipotoka wengi tulijua atafail tu lakini amepambana kujisimamia mpaka amefika hapo.

Kwa hapo alipo mimi sioni shida kwa hicho alichotamka kwa sababu kwa namna thamani yake ilivyo ameona anastahili kupata chochote kitu kutokana na nyimbo anazoshirikishwa. Yan isiishie tu mshirikishaji kupata kolabo ya Harmonize na kukuza fanbase yake lakini pia afaidike Harmonize kwa kuongeza mfuko wake na wote kukuza majina yao. Lakini pia itamsaidia mshirikishaji kumuwajibisha Harmonize kufanya kazi kwa bidii

Good move Harmonize chanzo kingine cha mapato kimekaa kihasara hasara. Tutambue thamani zenu vya bure siku hizi hakuna
 
Umeongea kistaarabu tatizo watanzania ni watu wa ku-dis sana hawana jema, mfano angesema anafanya bure watu wangemdisi tunakizazi cha ajabu ambacho hakina jema

Hiyo million 100 kufanikiwa au kufail soko ndo litakaloamua
 
Wakati anatoka Wasafi alikuwa charged Mil 500+ kwa sababu ile management iliamini kwa ilipomtoa imegharamika mpaka Harmonize amefika hapo. Alipotoka wengi tulijua atafail tu lakini amepambana kujisimamia mpaka amefika hapo.

Kwa hapo alipo mimi sioni shida kwa hicho alichotamka kwa sababu kwa namna thamani yake ilivyo ameona anastahili kupata chochote kitu kutokana na nyimbo anazoshirikishwa. Yan isiishie tu mshirikishaji kupata kolabo ya Harmonize na kukuza fanbase yake lakini pia afaidike Harmonize kwa kuongeza mfuko wake na wote kukuza majina yao. Lakini pia itamsaidia mshirikishaji kumuwajibisha Harmonize kufanya kazi kwa bidii

Good move Harmonize chanzo kingine cha mapato kimekaa kihasara hasara. Tutambue thamani zenu vya bure siku hizi hakuna
Aisee! Bonge moja la ufafanuzi. Safi sana.
 
Boss wa Kondegang Music Worldwide @harmonize_tz ametangaza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa wasanii watakaotaka kufanya naye Collabo huku sharti lake ngoma iwe kali tu.

"Naanza kuchaji Tsh Milioni 100 kwa collaboration sharti ngima iwe kali. I cant wait kumchaji mtu fulani Milioni 500" ameandika Harmonize

#EastAfricaTV #Harmonize #KondeGangView attachment 2433193
The sun heading to sunset
 
Back
Top Bottom