mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku hiyo ya wananchi. Huyu ni miongoni mwa wasanii wengi watakao tumbuiza siku hiyo, huu ni ushahidi kua timu ya yanga inaushirikiano mzuri na wasanii wakubwa Tanzania.