Harmonize kuwa makini na acha kiburi

Harmonize kuwa makini na acha kiburi

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Huyu dogo ameshaanza kupotea na kuonyesha makucha yake halisi kwenye jamii, Wiki chache zilizopita alikumbwa na kashfa ya kuwadharau waandishi wa habari wa Kenya, kitu cha kushangaza hakutoa tamko lolote wala kuomba msamaha

Siku za karibuni ametoa wimbo wa "Uno", wimbo ambao umefutwa huko Youtube kwa sababu ameiba beat ya msanii wa kenya aitwae "King Kaka"

Producer wa wimbo wa King Kaka amesema alimuonya Harmonize kuhusu wimbo huo lakini aliambulia "BLOCK" Producer huyo amesema alikuwa tayari kuongea na Harmonize lakini Harmonize alionyesha kiburi na dharau na hakutaka kumsikiliza.

Pia taarifa zilizo chini ya kapeti zinasema. Kuna baadhi ya media zimemuonya Harmonize kumtaja Diamond katika nyimbo zake, lakini Harmonize hajatilia maanani kama alivyofanya kwenye wimbo wa "Uno" amemtaja tena Diamond kwenye wimbo wake mpya unaitwa "Kushoto Kulia".

Harmonize pia alikataa kushiriki kwenye tamasha la Wasafi Festival alilo alikwa na label yake ya zamani
.....

Watu waliopo nyuma ya Harmonize wanampoteza kwa kumpa kiburi na dharau pasipo yeye mwenyewe kujua siku akifilisika hao wote watamkimbia
 
Hakuna watu wabaya kama wapambe. Usipokuwa nao makini wanakupoteza maana ni wachumia tumbo. Wanaweza kukuaminisha wewe ni mkubwa kuliko breezy na ukaamini.

Kashaaminishwa kuwa yeye ni msanii mkubwa sana Africa so asibabaishwe hana tena la kujifunza kwa wengine.
Akiangalia kipindi kile video zake zinagonga viewers mil50+ sawa na akina diamond, davido & wiz kid.
 
Hakuna watu wabaya kama wapambe. Usipokuwa nao makini wanakupoteza maana ni wachumia tumbo. Wanaweza kukuaminisha wewe ni mkubwa kuliko breezy na ukaamini.

Kashaaminishwa kuwa yeye ni msanii mkubwa sana Africa so asibabaishwe hana tena la kujifunza kwa wengine.
Akiangalia kipindi kile video zake zinagonga viewers mil50+ sawa na akina diamond, davido & wiz kid.
Wapambe ni wabaya sana ...
 
Ni taarifa zisizo rasmi.. Kwenye clouds na EFM wimbo wa uno ukifika ile sehemu "UNO LA CHIBU LILIMKONDESHA ZARI".. Wanaikatisha
Sio taarifa zisizo rasimi bali ni taarifa rasimi kua redio za clouds FM hua nnasikiliza saana sasa hawa jamaa wimbo wa Uno ukifika kwenye kipande cha

"uno la chibu chibu linamkondesha zari "
"uno la____________linamkondesha zari "

Wanaondoa jina la chibu kwenye wimbo tena hio ni mara nyingi tu nasikia maana nyimbo ya uno clouds inachezwa kila mara sasa mimi hua nafikiria je lile tangazo la Pepsi mkubwa wao hua anaskika Diamond na hawataki kumsikia je watayakataa matangazo ya pepsi
 
Harmonize si kwamba hajui kutunga au hajui kuimba, Anajua sana tu ila kitakachomkwamisha ni kile kile

kinachokwamisha wengine,atatoa nyimbo kali ila hazitaenda umbali ule unaotakiwa ztakua "kali za bongo"

kushoto kulia kaimba mipasho
 
exalioth, [emoji23]

Me nimesema taarifa zisizo rasmi ni kwamba haruhusiwi kumuimba chibu.. Lakini yeye anaendelea
 
Back
Top Bottom