Harmonize kwa majibu haya naona dondoko lako

kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
 
Sasa kakosea wapi ,ila endelea kupiga ramli,tafuta usinga na vibuyu ufungue kilinge kabisa.Mwenezako ndio kishatoboa na anaendelea kutoboa.Kijana mdogo una moyo wa kichawi ,sasa akishuka ww utafaidika nini wakati ,mwenzako ana vijana wanne madensa wanamtegemea.Unaonekana mshirikina sana hebu soma uzi wako
Fella, Sallam na Tale ni kajanja tu
nilivyosoma huu uzi nikajua ww mtu wa namna gani
"Hivyo wasihifanye wao wamemaster soko diamond ametoboa sasabu mama yake bingwa wa kupuliza na show zake zote kubwa huwa ndio mbeba mikoba huyo sallam mwenyew mbona alishindwa kumrudisha Mr Nice kwa game"
Sasa sijajua hiyo mikoba unamshonea wewe.
 
kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
Kiba ana mwaka hajatoa nyimbo diamond katoa nyimbo kama 5 sasa hapo kiba atapotea vipi? Watu wengine mnaandika vitu vya kipuuzi puuzi
 
kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..

Kiba yupo kwenye music industry kabla Diamond naamini anaishi ivyo anavyoishi leo kabla ya huo mnaoita ugomvi kuna watu hawajaanza leo kua manunda.
 
Kuandika Kwenyewe tabu.. Eti nao wanajiita super stars
 
Uzuri wa kiba hajibu mtu, ukimya ni jibu zuri sana kwa mpumbavu
 
Huyo pimbi ye na mkewe hawajui kuandika anajiona kadate mzungu kumbe mmoroco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…