Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A fortune teller at work
Kiba ana mwaka hajatoa nyimbo diamond katoa nyimbo kama 5 sasa hapo kiba atapotea vipi? Watu wengine mnaandika vitu vya kipuuzi puuzikitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumewasifu kukimbia madogo wanapapita kwao
Hahah!! Najua tunaongea lugha moja mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fala wewe...Umakonde ni shida