Harmonize kwa majibu haya naona dondoko lako

kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
Wewe ndugu una akili sana.
 
u wish dondoko lake ..hahahaha ata dondoko la diamond mnalisubiri toka 2011 mnaroho mbaya kama king Gubu kiba
 
hivi kabla ya kupost huwa hawaangalii km kunasehemu kakosea aediti?
 
kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
stupid...Cinderella wimbo wa Taifa domo alikuwa wapi????wanajipendekeza kwa king na kupiga nyimbo zake kinafiki kwenye TV yao wanajua fans wa Kiba wengi sana watatosa wasafi TV..
 
Huyu kijana msameheni tu bure, kwa sie tunaemjua tunajua what kind of person he is....

Elimu nayo inasaidia sana basi tu watu wanadharau.
 
Kiba yupo kwenye music industry kabla Diamond naamini anaishi ivyo anavyoishi leo kabla ya huo mnaoita ugomvi kuna watu hawajaanza leo kua manunda.
Hata Matonya,Q chila na TID wameanza kabla ya Domo!issue sio kuanza mkuu
 
Konde nae si angejaribu kumsalimia aone itakuwaje kesi haimuhusu kutafuta tuu uhasama
 
haya mambo ya watu kushindwa kusalimiana wakiwa watu wazima kabisa siyo yakuyajadili kabisa mtu anakula kwake
 
stupid...Cinderella wimbo wa Taifa domo alikuwa wapi????wanajipendekeza kwa king na kupiga nyimbo zake kinafiki kwenye TV yao wanajua fans wa Kiba wengi sana watatosa wasafi TV..
Wasingepiga, ungesema ana roho mbaya sababu hapigi nyimbo zake. Diamond mambo yake anayaendesha ki-professional sio kama Ruge, beef zake binafsi hazihusiani na biashara yake, Jay Z pale ana beef na Kanye West lkn bado anaziuza nyimbo zake ktk mtandao wake wa TIDAL
 
safi sana harmonize. Mtu huwez kuwa mwema ukaishi kigaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…