Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndugu una akili sana.kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
Pure translation from kihayaTumewasifu kukimbia madogo wanapapita kwao
unafikiri hata akili ya kujua kuwa kakosea au kapatia anazo?hivi kabla ya kupost huwa hawaangalii km kunasehemu kakosea aediti?
stupid...Cinderella wimbo wa Taifa domo alikuwa wapi????wanajipendekeza kwa king na kupiga nyimbo zake kinafiki kwenye TV yao wanajua fans wa Kiba wengi sana watatosa wasafi TV..kitu ambacho msanii anatakiwa kufanya ni kubakiwa kwenye relevant..anachofanya Diamond and hamonize wanapatia sana. Diamond anahitaji apatane na kiba ili kiba apotee kabsa. Ugomvi unamnufaisha KIba kuliko Simba..
Hata Matonya,Q chila na TID wameanza kabla ya Domo!issue sio kuanza mkuuKiba yupo kwenye music industry kabla Diamond naamini anaishi ivyo anavyoishi leo kabla ya huo mnaoita ugomvi kuna watu hawajaanza leo kua manunda.
Wasingepiga, ungesema ana roho mbaya sababu hapigi nyimbo zake. Diamond mambo yake anayaendesha ki-professional sio kama Ruge, beef zake binafsi hazihusiani na biashara yake, Jay Z pale ana beef na Kanye West lkn bado anaziuza nyimbo zake ktk mtandao wake wa TIDALstupid...Cinderella wimbo wa Taifa domo alikuwa wapi????wanajipendekeza kwa king na kupiga nyimbo zake kinafiki kwenye TV yao wanajua fans wa Kiba wengi sana watatosa wasafi TV..
Kwahyo kama yupo kitambo?Kiba yupo kwenye music industry kabla Diamond naamini anaishi ivyo anavyoishi leo kabla ya huo mnaoita ugomvi kuna watu hawajaanza leo kua manunda.