ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
😄😄😄😄😄😄Magufuli kamshirikisha Mbowe
Aisee anawapeleka chaka sio
kama unamaanisha taji la mbuzi(goat) basi uko sawa lakini kama unamaanisha Greatest of all time basi nadhan mirembe wamefunga shule na wanafunzi wao wako mitaaniKma inavoonekana, muda c mwingi Wimbo wa Harmonize msanii namba moja Tanzania utakuwa ni The most viewed Tanzanian song of all time, na ambapo siku hiyo harmonize ndo atakuwa msanii mkali zaidi kuwahi kutokea katika nchi hii.
asante
Akishachukua tuzo zaidi ya 100+ na kuwa na nyimbo zaid ya 20+ zenye views 40+ kwenda juu tunmpatia crown bila tabu yeyote na akiwa na nyimbo yenye views 50+ aliyoimba singe au bila diamond kuwemo.Kma inavoonekana, muda c mwingi Wimbo wa Harmonize msanii namba moja Tanzania utakuwa ni The most viewed Tanzanian song of all time, na ambapo siku hiyo harmonize ndo atakuwa msanii mkali zaidi kuwahi kutokea katika nchi hii.
asante
Wakati hata kwa mbosso ajafikia badoUpande huu wewe ukiwa unaangalia views za video tulizo sahau huku upande mwingine harmonize unaemsema ni no1 ajiapange kwani shilingi imepinduliwa kuwania nafasi ya pili
Maana nafasi ya kwanza ni W
Hapa nazungumzia yule msanii chipkizi anaekuja kwa kasi ya kisulisuli Mariooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada utakuwa anatatizo la ubongo hiyo ngoma amemshirikisha Nani? Mpaka uje utambe humu.
Naona umempa jibu takatifu mtoa mada.Akishachukua tuzo zaidi ya 100+ na kuwa na nyimbo zaid ya 20+ zenye views 40+ kwenda juu tunmpatia crown bila tabu yeyote na akiwa na nyimbo yenye views 50+ aliyoimba singe au bila diamond kuwemo.
Sent using Jamii Forums mobile app