ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kama inavoonekana, muda si mwingi wimbo wa Harmonize msanii namba moja Tanzania utakuwa ni The most viewed Tanzanian song of all time. Na siku hiyo Harmonize ndo atakuwa msanii mkali zaidi kuwahi kutokea katika nchi hii.
Asante
Asante