Harmonize Kwangwaru 56Mil views, Diamond Nana 56Mil Views. Soon Harmonize will take the Goat crown

Huku Ni Kumkosea Heshima Mondi, Knaan Ndo Msanii Mwenye Wimbo Ulotazamwa Zaid Youtube Kwa Nijeria 184m Lakin Huwezi Kumlinganisha Na Davido....
huko dunian kwenyewe msanii mkubwa zaidi kwa sasa chris brown hayupo hata kwenye 15 bora yavideo zilizoangaliwa zaidi duniani....
kwa sasa huyo harmo wenu hata atoe ngoma gan or amshirikishe nan views 10 ningum kufikisha na mkibisha mda utawaeleza
UFIKE MDA WABONGO TUACHE UNAFIKI AJILI YA CHUKI ZETU
nb:kabla hujapost google kwanza na sio kumsikiliza huyo bibi kizee wa mawingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…