Harmonize Kwangwaru 56Mil views, Diamond Nana 56Mil Views. Soon Harmonize will take the Goat crown

Fanya utafiti, tafuta nyimbo alizoimba diamond peke yake fananisha na alizoshirikisha watu halafu compare and contrast number of views
 
Leo mnamshindanisha Diamond na Harmonize? Hamna adabu
 
ipo kwenye account ya nan..? Vp Nana nayo ni ya mr frevour
Ni ya diamond ila Mr fleva ndiyo kaipaisha ile nyimboo
Anategemea nyimbo za watu na collaboration
Hii ni ukweli mkuu nyimbo nyingi alizoimba mwenyewe diamond, mfano Eneka ina views 12M, kitorondo 18M, the One 19M, jibebe 16 tena hii wameimba diamond, mboso, laValava,
Nyimbo alizoimba na wengine
 
Ni ya diamond ila Mr fleva ndiyo kaipaisha ile nyimboo

Hii ni ukweli mkuu nyimbo nyingi alizoimba mwenyewe diamond, mfano Eneka ina views 12M, kitorondo 18M, the One 19M, jibebe 16 tena hii wameimba diamond, mboso, laValava,
Nyimbo alizoimba na wengine
Mbona sikomi Ina viewers 39m.
 
Ni ya diamond ila Mr fleva ndiyo kaipaisha ile nyimboo

Hii ni ukweli mkuu nyimbo nyingi alizoimba mwenyewe diamond, mfano Eneka ina views 12M, kitorondo 18M, the One 19M, jibebe 16 tena hii wameimba diamond, mboso, laValava,
Nyimbo alizoimba na wengine
Sikomi nayo ina views milion ngapi?

Alafu hamna mtu aliyekatazwa kufanya Collabo,ila Diamond ana jicho la kuselect mtu wa kufanya nae Collabo ili akuze mziki wake na hata wasanii wa nje wanatamani kufanya Collabo na Mondi mfano tu Yope Innos'B,Watora mari Jah Preyah,Akothee .Yope OG haijavuka 20m ila rmx ina 61m.

Jiulize kuna watu washafanya collabo na akina Yemi Alade,Sarkodie,Sean Kingstone,MI lakini hawapati views kama za Mondi na kuna wasanii wengine(AY,Innos'B,Harmonize,Rayvanny,Akothee,Jah Preyah) tangu waanze mziki wao nyimbo zao zenye viewers wengi ni zile walizo mshirikisha Mondi hawa nao unasemaje?

Mziki ni biashara na biashara lazima utafute masoko mapya kila siku,leo Diamond ukizitoa nchi za kiarabu ktk bara la Africa kishapiga show zaidi ya 95% za inchi zote ,kabakisha chache.So ukichunguza hizo collabo ndizo zinazo mpa hayo masoko.

Hamna msanii aliyekatazwa kufanya collabo,ila unapofanya collabo unatakiwa uwe na jicho la kumchagua msanii,sio unafanya ili mradi mwisho wa siku inakula kwako.
 
Sikomi nyingine?
 
Back
Top Bottom