Harmonize lisemwalo lipo, ila kabla ya kutoka WCB fanya ili

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Tunasikia habari mtaani kwamba Harmonize na menejimenti ya WCB Wasafi haziivi kwa sasa. Lisemwalo lipo na sisi tuliopembeni tukiunganisha matukio tunaona kabisa kuna kitu hakipo sawa japo wenyewe wanakanusha.
Anyways sio dhambi kabisa Konde kuwa na maisha mapya nje ya Wasafi maana ndio kukua huko.
Ila kabla hajatoka Wasafi tunaomba athibitishe kitu kimoja kwa mashabiki. Afanye hitsong bila ya kumshirikisha Diamond.
Sote tunajua na wataalam wa muziki wanajua Harmonize mpaka sasa ana hitsongs mbili tu kwenye maisha yake ya muziki na zote yupo na Diamond, nyimbo ya "Bado" na "Kwangwaru" zaidi ya hapo amewai kuwa na nyimbo nzuri ila hazikuwa hitsongs.

Harmonize prove us wrong..bila hivyo nje ya WCB utakuwa kama Mavoko tu.
 
Ndio nani huyo mkuu..??
Maana sijawahi kumuona Mwenge Jazz wala kumsikia Tabora Jazz
[emoji23][emoji23][emoji23]Wazee utawajua tu! Nakusabahi mzee mwenzangu
 
Umejuaje haziivi?, Mbona juzi mwenyew kawadiss waandishi kuhusu hizo shutuma

Kasema WCB kwake ni familia,hakuna harmoniz kama hakuna WCB,pia amesema Diamond kwake ni Baba yake..so mtoa mada acha kukuza negativity

 
unasema hawezi kufanya hitsong peke yake.
je collabo alizopewa huko nje nigeria na manchi mengine kibao.
sasa kwanini watu walikuwa wanamtafuta wafanye kazi ikiwa yeye anategemea kufanya hitsong na diamond?
ina maana walikuwa wanafanya nae kazi yenye hasara coz ni harmo hawezi kutoa ngoma kali mpaka mondi ampus?!
 
harmonize Hana nyimbo mbaya hata siku moja hayuko kama mke mdogo wa diamond rayvan ambaye hawezi kabisa kusimama peke ake mpka ashikwe kalio na mmewe.
 
Ndio nani huyo mkuu..??
Maana sijawahi kumuona Mwenge Jazz wala kumsikia Tabora Jazz
ukale ni mzigo harmonize anaweza kumiliki hivyo vituo vya wanywa gongo vote ulivyovitaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…